William Ngeleja |
Mbunge wa
Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini
William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi
uliopelekea kuvuliwa uwaziri.Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia
yakuwania urais, Ngeleja amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa
aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo
si sahihi.
Ameongeza
utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza
kutumika hata bila ya kuwa na udhaifu katika uongozi.
Ameongeza kumekuwa na baadhi ya baadhi ya watu wanaoeneza habari hizo kwa leo la kumchafua.Willim Ngeleja anaungana na viongozi wengine wa siasa kutangaza nia ya kugombea urais. Kwa nini Takwimu za uchumi nchini zinaonyesha Uchumi ukikuwa kwa wastani wa asilimia 7% takribani kwa muongo mzima wa takribani miaka 10 mfululizo lakini umasikini umekuwa ukipungua kwa asilimia 2% tu?
Ingawa nafasi ya Urais imeombwa na wanachama wengi, Ngeleja atoa fursa kwa watanzania kumtathimini, na si kwa maneno ya mtaani bali kwa takwimu za utendaji kazi ikiwa ni sambamba na kuifuatilia ripoti ya CAG na ESCROW kuisoma kurasa hadi kurasa.(VICTOR)

No comments:
Post a Comment