Ijumaa na Jumamosi ilikuwa weekend yenye matunda poa kwa presenter wa show ya Take One @CloudsTV… Zamaradi Mketema alishinda Tuzo siku ya Ijumaa katika Tuzo za Watu na siku ya Jumamosi pia kwenye Tuzo za Filamu TZ… Zamaradi amesema ushindi wa Tuzo hizo umempa nguvu ili kufanya kazi ya movie nyingine ambazo zitakuwa nzuri zaid
No comments:
Post a Comment