Ujio mwingine wa P Square kwenye video mpya ya ‘Bring It On’– feat. Dave Scott…

http://www.bellanaija.com/wp-content/uploads/2015/06/P-Square-feat.-Dave-Scott-Bring-It-On-BellaNaija-June-2015.pngP Square wameachia video yao mpya inayoitwa ‘Bring It On’, Ni nyimbo iliyopo kwenye albamu yao mpya ya Double Trouble.
Katika video hiyo yenye vionjo vya R&B na Rock ilifanyika Atlanta Marekani na Afrika Kusini huku ndani wakimshirikisha Dave Scott.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved