Rais Magufuli Atema Cheche Kuhusu Mafisadi Wanaolalamika Kutumbuliwa Hadharani ;

Katika
hafla hiyo, Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya watu
wanaowaonea huruma mafisadi ambao wamekuwa wakitumbuliwa hadharani
Amesema fisadi hastahili huruma kwa sababu yeye wakati anawaibia wananchi hakuwa na huruma
Subscribe to:
Posts (Atom)