Pia amesikika mwanamuziki Fid Q ambaye
amezungumzia mchakato kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ujao, na kuweka
bayana kuwa katika siasa kuna matatizo yake, kuna mapengo kibao, na
haoni sioni kama siasa inamshinda ila anaogopa uongo uliopo kwenye
siasa.
No comments:
Post a Comment