Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Wanaosoma
Wuhan-China (WUTASA) imefanya sherehe ya kuwaaga wenzao waliomaliza
masomo yao. Sherehe hiyo ilihudhuriwa pia na Wanajeshi wa Jeshi la
Wanachi (JWTZ) Kikosi cha Maji wanaosoma kozi fupi za uhandisi katika
chuo cha jeshi cha uhandisi kilichopo Jijini Wuhan.(VICTOR)
No comments:
Post a Comment