SERIKALI imesema kuwa, wafanyakazi wote wa majumbani wanatakiwa kulipwa
mshahara wa kima cha chini kwa mujibu wa mkataba.
Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,
Makongoro Mahanga alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Ole,
Rajab Mbarouk Mohammed (CUF).
Mbunge huyo aliihoji serikali na kutaka itoe kauli kuwa, ni kiasi gani
cha mishahara ambacho
Article Source: Wavuti
No comments:
Post a Comment