Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe akizungumza na viongozi wa dini ya kiislam wa
Mtwara mjini jana jioni, wakati wa dua maalum iliyoandaliwa na viongozi
hao kwa ajili ya kumtakia kheri katika safari yake ya kuwania urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya
Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyekaa (kushoto) ni Sheikh wa Mkoa wa
Mtwara, Dk. Nurdin Abdallah Mangochi. Picha zote na John Badi
No comments:
Post a Comment