Wadau wa utalii wataka mjadala kuhusu kodi |
Mwenyekiti wa ZATI Omary Said Shaaban amesema kodi hiyo inapaswa kufahamika kwa wafanyabiashara wa utalii kabla haijaanza kutumika katika mwaka ujao wa fedha kwa sababu imeanzishwa bila kuwashirikisha wadau wa sekta ya utalii visiwani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment