Wataalamu wa uchumi wataka kutengwa bajeti ya miundombinu


Wataalamu wa uchumi wataka kutengwa bajeti ya miundombinu
Watalaam wa uchumi nchini wameishauri serikali kutenga fedha za kutosha katika bajeti ya fedha ya mwaka 2015/2016 kwa ajili ya miundombinu ya shule na masilahi ya walimu ili kuboresha sekta ya elimu nchini.

Wakizungumza kwenye kipindi maalumu cha mahojiani kuhusu bajeti kilichorushwa na TBC1, wataalamu hao Dr. FRED MSEMWA na JOSEPH SHEFFU wamesema sekta ya elimu inapaswa kupewa kipaumbele kwa sababu sekta hiyo ni msingi wa maendeleo wa sekta nyingine zote nch

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved