Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiuliza swali wakati alipotembelea katika Chuo cha Afya cha
Wurzburg Nchini Ujerumani ambacho hutoa matibabu na kufanya tafiti mbali
zinazohusu maradhi ya Binadamu baada ya kupata maelezo kwa Mkuu wa
Idara ya maradhi ya Tropic Prof.Dr.med,August Stich wakati alipoelezea
mambo mbali mbali (kulia) Balozi Philip Marmon na (kushoto)Katibu Mkuu
Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kushoto) akiwa na ujumbe wake wakipewa maelezo na Mkuu wa Idara ya
maradhi ya Tropic Prof.Dr.med,August Stich wakati walipokuwa
wakiwaangalia madaktari waliovalia vazi rasmi la kujikinga na maradhi ya
Ebola wakati alipotembelea katika Chuo cha Afya cha Wurzburg Nchini
Ujerumani
Katibu
Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee (kulia) na Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi
Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa (kushoto) na Msaidizi Naibu Mstahiki Meya
wa Mji wa Wurzburg Dr.Adolf Bauer wakati wa chakula maalum cha jioni
kilichoandaliwa kwa Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ziara ya kikazi nchini
Ujerumani katika Mji wa Wurzburg alipohudhuria katika Tamasha la 27 la
Muziki.
No comments:
Post a Comment