Most Inc Boyz ambao ni familia ya mziki wanakuja na nyimbo yao mpya
Kichuna remix.
Alipo piga story na
New Day Taarifa muwakilishi wa
Most Inc Family, Gorko Flow alisema,
''
Most Inc Boyz ni kama familia inawatu wengi lakini kwa
tunaoimba ni wanne ambao ni
Gorko flow, Kisabari, Lastie Bone na
Damost
ingawa mtu wa tano atatambulishwa hivi kalibuni,
Kichuna remix imefanyika
Most Inc Production imeshirikisha wasanii sita ambao ni
Gorko flow, Lastiebone Dr fazi Dullayo Phiner na Damost
Track inatoka tar 16/10 inamilikiwa na
Most Inc Boyz, Sababu kubwa ni kuongeza Fan Base. Unajua sisi ni kundi jipya kwaiyo tuna track moja tu hewani kwaiyo kichuna remix inatuongezea wigo mkubwa wa mashabiki sababu ni track Kali pia imeshirikisha wasanii wengi na wakali pia''.
Na Tulipo Ongea Nae Kuhusu Utaratibi Wa
Most Inc Boys Kutoa Nyimbo Akasema,
''Utaratibu tulio weka ni kutoa track kila baada ya miezi miwili nikilewa ilitoka tarehe 18/8 ko miez miwili imefika lengo kubwa ni kupata nafasi ya kuachia track kama solo artist pia''
Na Mwisho Akawashukuru Mashabiki wao wote kwa kusema,
''Napenda kuwashukuru wote wanaotuunga mkono hatuta waangusha pia kwa mashabiki wa
Gorko flow nyimbo yangu na suma mnazaleti imekamilika kwaiyo wajiandae kuipokea baada ya project ya most inc boyz''....