Tume ya taifa ya uchaguzi imeshatangaza
kwamba uchaguzi mkuu utafanyika October 2015 ambapo sasa ni headlines
zake zinachukua nafasi kwa watu mbalimbali kutangaza nia za kugombea
nafasi ya juu ya Urais.
Post hii inamilikiwa na January Makamba
ambae ni Mbunge wa Bumbuli Tanga na anautaka Urais pia ambapo May 30
2015 aliandika >>> ‘
Wiki ijayo
tutataarifu ni lini na kwa namna gani tutazungumza na Watanzania,
kuchukua fomu, kuanza safari za mikoani kukutana na Watanzania‘
No comments:
Post a Comment