“Nashukuru Mungu gari langu nimeshapewa na sasa napiga nalo misele na ukinikuta kwenye daladala basi nimependa mwenyewe au kuna tatizo, kazi iliyobaki ni kuthibitisha thamani yangu kwa Yanga,” alisema Busungu.
Msham,buliaji huyo amejiunga na mabingwa hao wa ligi kuu wiki chache zilizopita akitokea kwenye klabu ya Mgambo JKT ya jijini Tanga ambapo alimaliza ligi akiwa mfungaji bora wa klabu yake aliyokuwa akiitumikia.
No comments:
Post a Comment