Sasa story hapa kwa sasa ni idadi ya wanachama waliojitokeza hapa ni wengi kiasi cha kuzidi ukubwa wa ukumbi wenyewe jambo ambalo linatia wasiwasi hapa kuhusu usalama wa maeneo haya.
Imekuwekea picha za wanachama na jinsi wavyozidi kumiminika hapa muda huu,bado lipumba hajafika,Taarifa zinasema mkutano huu utarushwa na ITV ifikapo saa sita mchana.
No comments:
Post a Comment