Mbunge Andrew Chenge alikuwa
mmoja ya waliotajwa kuhusika pia, ishu ikapelekwa Kamati ya Maadili na
baadae Mbunge huyo akapeleka ombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
ili kuzuia kuhojiwa na Kamati hiyo.
Jana June 26 2015 ripoti kutoka Mahakamani inasema Mahakama hiyo imetupilia mbali Ombi hilo kwa kuwa imeona haikuwa na Mamlaka ya kuzuia Shauri hilo, na walichokiona ni kwamba Chenge alikuwa na njia mbadala kushughulika na ishu hiyo badala ya kukimbilia Mahakamani.

No comments:
Post a Comment