Mmiliki wa jengo moja lilipo Mbezi Makonde Manispaa ya Kinondoni jijini
Dar es Salaam ameilalamikia mamlaka ya maji safi na taka Dar es salaam -
DAWASA kwa kuvunja nyumba yake ya biashara bila taarifa wala malipo.
Mmiliki yuyo, Zureha Salim amedai kuwa miaka miwili iliyopita DAWASA
walihitaji eneo la mbele ya nyumba hiyo kwa ajili ya kupitisha bomba
kubwa la maji hatua ambayo hawakukubaliana
Article Source: Wavuti
No comments:
Post a Comment