Mwenyekiti
wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi
Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakisaini hati za makubaliano ambayo
itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza kufanya kazi za
ujenzi kwa ubora wa hali ya juu. Mwenyekiti
wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi
Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakibadishana hati za makubaliano ambayo
itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza kufanya kazi za
ujenzi kwa ubora wa hali ya juu. Katibu Mtendaji wa Umoja wa Makandarasi Wazalendo(ACCT)Angela Joseph akizunguza wakati wa hafla hiyo.Makamu
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Mgaya akizungumza jambo juu ya
kuwawezesha Mafundi Mchundo na Mafundi Sanifu kufanya kazi kwa
ubora.Mafunzo yatatolewa katika chuo hicho.
Article Source: Father Kidevu
No comments:
Post a Comment