Tanzania wenyeji fainali za Afrika

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amepokea msaada wa vitabu 895 vyenye thamani ya sh. milioni 6.5/- ikiwa ni jitihada ya wadau mbalimbali kuchangia shule ya msingi aliyosoma ya Kakuni iliyoko kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi. Waziri Mkuu amepokea msaada huo jana mchana (Jumanne, Mei 26, 2015) kwenye shule mpya ya msingi Kakuni ambayo bado inaendelea kujengwa kwenye kijiji cha Kibaoni. Akizungumza katika hafla hiyo fupi mara baada ya kupokea msaada huo, Waziri Mkuu Pinda aliishukuru kampuni ya General Booksellers Ltd ya kutoka Dar es Salaam kwa msaada huo ambao alisema utachangia kwa kiasi kikubwa kuitimiza ndoto yake aliyokuwa nayo ya kuisaidia jamii iliyomsomesha. “Wazo la ujenzi wa shule mpya ya msingi Kibaoni lilitokana na ukweli kwamba nilisoma na kumaliza kwenye shule hii ya Kakuni. Nikiwa ni mtumishi wa Serikali, ni Mbunge na sasa hivi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nilijiuliza hivi shule hii ninaweza kuiacha hivi hivi?” “Nilijiuliza sana ni jambo gani ambalo naweza kulifanya la kusaidia wanakijiji wenzangu na kata nzima ya Kibaoni kama shukrani kwa kunilea na kunifikisha hapa nilipo. Ndipo wazo la kujenga shule niliyosoma likazaliwa kama mwaka mmoja na nusu uliopita,” alisema Waziri Mkuu wakati akiwahutubia wazazi, walimu na wanafunzi. Mapema, akiwasilisha msaada huo, mwakilishi wa kampuni ya General Booksellers Ltd, Bw. Joachim Masaburi alisema wameamua kuchangia vitabu hivyo kwa kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto lakini pia wanatambua juhudi za Serikali za kutoa elimu bora. Akitoa mchanganuo wa vitabu hivyo, Bw. Masaburi alisema: “Kuna vitabu 600 kwa ajili ya shule ya awali ambavyo kati yake 300 ni vya ngazi ya chini (nursery) na vitabu vingine 300 ni vya ngazi ya juu (pre-school). Vyote ni vya hisabati, Kiingereza na sayansi”. “Kwa shule ya msingi wao tunawapatia kivunge cha kufundishia mfumo wa mwili wa binadamu kama sehemu ya masomo ya sayansi, hiki kina thamani ya sh. 550,000/-,” alisema. Pia kampuni hiyo ilitoa msaada wa vitabu vingine 295 vya Baiolojia, Fizikia, Uraia, Kiswahili kwa ajili ya shule ya sekondari ya Mizengo Pinda iliyoko kijijini hapo. Hadi sasa majengo yaliyokamilika kwenye shule hiyo ni madarasa 14, jengo la utawala lenye ofisi za walimu na maktaba mbili (wanafunzi na walimu), jengo la TEHAMA la wanafunzi lenye darasa moja, ukumbi mdogo na ofisi za walimu na jengo moja la choo lenye matundu 48. Pia ujenzi wa nyumba sita za walimu uko kwenye hatua ya kuezeka. Nyumba hizo zinajengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Ujenzi wa choo kingine chenye matundu 48 umeanza. Waziri Mkuu aliwaomba wananchi wengine wamsaidie kutimiza ndoto yake kwani bado anakabiliwa na kazi ya kuweka umeme, maji, kujenga nyumba nane za walimu, bwalo na jiko, karakana nne za ufundi, ujenzi wa kituo cha walimu cha mafunzo ya muda mfupi na utunzaji taarifa (Resource Centre), viwanja vya michezo vya kisasa vinavyozingatia michezo yote, mfumo wa uvunaji maji ya mvua, mfumo wa maji safi na maji taka, nyumba mbili za walinzi na uzio wa shule. Alitaja vitu vingine ambavyo bado vinahitaji kuchangiwa ni meza za walimu – za ofisini na darasani, viti vya walimu – vya ofisini na darasani, madawati ya shule ya msingi na ya awali, meza na viti vya maktaba zote mbili, meza na viti vya bwalo – shule ya msingi na shule ya awali.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Tokeo la picha la caf                                                                                         SHIRIKISHO la Soka la Afrika (CAF) limeipa Tanzania uenyeji wa kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 17 zitakazofanyika mwaka 2019.
Uamuzi huo ulifikiwa wakati wa Mkutano wa Kamati ya Utendaji ya CAF uliofanyika jijini Zurich, Uswisi, juzi.
“Kamati ya Utendaji ya CAF imekubali ombi la Shirikisho la Soka Tanzania la kuwa mwenyeji wa fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019”, ilisema sehemu ya taarifa hiyo ya CAF.
Tanzania iliwasilisha ombi hilo kwa msaada wa serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo chini ya Waziri wake, Dk Fenella Mukangara.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi alisema ni heshima kubwa kwa Tanzania kuandaa mashindano hayo ya Afrika.
“Kuandaa mashindano ya vijana ya Afrika ni hatua kubwa katika maendeleo ya soka na itafungua milango kuandaa fainali za wakubwa za Mataifa ya Afrika za Afcon mbeleni,” alisema Malinzi.
Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa fainali za Afrika, ambapo imejihakikisha nafasi ya kushiriki fainali hizo kama mwenyeji baada ya kusota kwa miaka mingi ikisaka kufuzu.
TFF ilisema katika kuandaa kikosi bora cha kushiriki fainali hizo, Tanzania, mwezi ujao itaandaa mashindano ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 13 na wachezaji bora wa mashindano haya wataunda kikosi cha mwanzo cha taifa kuelekea fainali hizo za mwaka 2019.
TFF inamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kwa kufanikisha maamuzi haya, na inaamini ushirikiano huu wa Serikali na wadau wengine utafanikisha mashindano haya mwaka 2019.
“Kupitia mashindano haya ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 13 huko jijini Mwanza yatasaidia kuunda kikosi imara tena cha ushindano cha U17 mwaka 2019,”aliongeza Malinzi katika ukurasa wake rasmi wa Twitter.
Malinzi tayari ameelezea mipango kabambe ya TFF ya kuunda kikosi imara kwa ajili ya kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 zitakazofanyika Madagascar mwaka 2017.
Kwa sasa, TFF inaendesha programu za vijana wenye umri chini ya miaka 13 na 15 kwa ajili ya kupata timu imara za taifa za vijana kwa ajili ya kufuzu kwa fainali hizo za Madagascar 2017, na zile za vijana za Afrika za mwaka 2019.
Timu hizo zitakuwa zikipiga kambi na kucheza mechi kadhaa za kirafi ndani na nje ya nchi zikiwemo nchi za Malawi, Zambia, Zimbabwe, Botswana na Afrika Kusini.
Katika mkutano huo wa CAF, Niger imepewa uenyeji wa kuandaa fainali za vijana wenye umri chini ya miaka 20 zitakaofanyika mwaka 2019.

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amepokea msaada wa vitabu 895 vyenye thamani ya sh. milioni 6.5/- ikiwa ni jitihada ya wadau mbalimbali kuchangia shule ya msingi aliyosoma ya Kakuni iliyoko kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi. Waziri Mkuu amepokea msaada huo jana mchana (Jumanne, Mei 26, 2015) kwenye shule mpya ya msingi Kakuni ambayo bado inaendelea kujengwa kwenye kijiji cha Kibaoni. Akizungumza katika hafla hiyo fupi mara baada ya kupokea msaada huo, Waziri Mkuu Pinda aliishukuru kampuni ya General Booksellers Ltd ya kutoka Dar es Salaam kwa msaada huo ambao alisema utachangia kwa kiasi kikubwa kuitimiza ndoto yake aliyokuwa nayo ya kuisaidia jamii iliyomsomesha. “Wazo la ujenzi wa shule mpya ya msingi Kibaoni lilitokana na ukweli kwamba nilisoma na kumaliza kwenye shule hii ya Kakuni. Nikiwa ni mtumishi wa Serikali, ni Mbunge na sasa hivi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nilijiuliza hivi shule hii ninaweza kuiacha hivi hivi?” “Nilijiuliza sana ni jambo gani ambalo naweza kulifanya la kusaidia wanakijiji wenzangu na kata nzima ya Kibaoni kama shukrani kwa kunilea na kunifikisha hapa nilipo. Ndipo wazo la kujenga shule niliyosoma likazaliwa kama mwaka mmoja na nusu uliopita,” alisema Waziri Mkuu wakati akiwahutubia wazazi, walimu na wanafunzi. Mapema, akiwasilisha msaada huo, mwakilishi wa kampuni ya General Booksellers Ltd, Bw. Joachim Masaburi alisema wameamua kuchangia vitabu hivyo kwa kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto lakini pia wanatambua juhudi za Serikali za kutoa elimu bora. Akitoa mchanganuo wa vitabu hivyo, Bw. Masaburi alisema: “Kuna vitabu 600 kwa ajili ya shule ya awali ambavyo kati yake 300 ni vya ngazi ya chini (nursery) na vitabu vingine 300 ni vya ngazi ya juu (pre-school). Vyote ni vya hisabati, Kiingereza na sayansi”. “Kwa shule ya msingi wao tunawapatia kivunge cha kufundishia mfumo wa mwili wa binadamu kama sehemu ya masomo ya sayansi, hiki kina thamani ya sh. 550,000/-,” alisema. Pia kampuni hiyo ilitoa msaada wa vitabu vingine 295 vya Baiolojia, Fizikia, Uraia, Kiswahili kwa ajili ya shule ya sekondari ya Mizengo Pinda iliyoko kijijini hapo. Hadi sasa majengo yaliyokamilika kwenye shule hiyo ni madarasa 14, jengo la utawala lenye ofisi za walimu na maktaba mbili (wanafunzi na walimu), jengo la TEHAMA la wanafunzi lenye darasa moja, ukumbi mdogo na ofisi za walimu na jengo moja la choo lenye matundu 48. Pia ujenzi wa nyumba sita za walimu uko kwenye hatua ya kuezeka. Nyumba hizo zinajengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Ujenzi wa choo kingine chenye matundu 48 umeanza. Waziri Mkuu aliwaomba wananchi wengine wamsaidie kutimiza ndoto yake kwani bado anakabiliwa na kazi ya kuweka umeme, maji, kujenga nyumba nane za walimu, bwalo na jiko, karakana nne za ufundi, ujenzi wa kituo cha walimu cha mafunzo ya muda mfupi na utunzaji taarifa (Resource Centre), viwanja vya michezo vya kisasa vinavyozingatia michezo yote, mfumo wa uvunaji maji ya mvua, mfumo wa maji safi na maji taka, nyumba mbili za walinzi na uzio wa shule. Alitaja vitu vingine ambavyo bado vinahitaji kuchangiwa ni meza za walimu – za ofisini na darasani, viti vya walimu – vya ofisini na darasani, madawati ya shule ya msingi na ya awali, meza na viti vya maktaba zote mbili, meza na viti vya bwalo – shule ya msingi na shule ya awali.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amepokea msaada wa vitabu 895 vyenye thamani ya sh. milioni 6.5/- ikiwa ni jitihada ya wadau mbalimbali kuchangia shule ya msingi aliyosoma ya Kakuni iliyoko kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi. Waziri Mkuu amepokea msaada huo jana mchana (Jumanne, Mei 26, 2015) kwenye shule mpya ya msingi Kakuni ambayo bado inaendelea kujengwa kwenye kijiji cha Kibaoni. Akizungumza katika hafla hiyo fupi mara baada ya kupokea msaada huo, Waziri Mkuu Pinda aliishukuru kampuni ya General Booksellers Ltd ya kutoka Dar es Salaam kwa msaada huo ambao alisema utachangia kwa kiasi kikubwa kuitimiza ndoto yake aliyokuwa nayo ya kuisaidia jamii iliyomsomesha. “Wazo la ujenzi wa shule mpya ya msingi Kibaoni lilitokana na ukweli kwamba nilisoma na kumaliza kwenye shule hii ya Kakuni. Nikiwa ni mtumishi wa Serikali, ni Mbunge na sasa hivi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nilijiuliza hivi shule hii ninaweza kuiacha hivi hivi?” “Nilijiuliza sana ni jambo gani ambalo naweza kulifanya la kusaidia wanakijiji wenzangu na kata nzima ya Kibaoni kama shukrani kwa kunilea na kunifikisha hapa nilipo. Ndipo wazo la kujenga shule niliyosoma likazaliwa kama mwaka mmoja na nusu uliopita,” alisema Waziri Mkuu wakati akiwahutubia wazazi, walimu na wanafunzi. Mapema, akiwasilisha msaada huo, mwakilishi wa kampuni ya General Booksellers Ltd, Bw. Joachim Masaburi alisema wameamua kuchangia vitabu hivyo kwa kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto lakini pia wanatambua juhudi za Serikali za kutoa elimu bora. Akitoa mchanganuo wa vitabu hivyo, Bw. Masaburi alisema: “Kuna vitabu 600 kwa ajili ya shule ya awali ambavyo kati yake 300 ni vya ngazi ya chini (nursery) na vitabu vingine 300 ni vya ngazi ya juu (pre-school). Vyote ni vya hisabati, Kiingereza na sayansi”. “Kwa shule ya msingi wao tunawapatia kivunge cha kufundishia mfumo wa mwili wa binadamu kama sehemu ya masomo ya sayansi, hiki kina thamani ya sh. 550,000/-,” alisema. Pia kampuni hiyo ilitoa msaada wa vitabu vingine 295 vya Baiolojia, Fizikia, Uraia, Kiswahili kwa ajili ya shule ya sekondari ya Mizengo Pinda iliyoko kijijini hapo. Hadi sasa majengo yaliyokamilika kwenye shule hiyo ni madarasa 14, jengo la utawala lenye ofisi za walimu na maktaba mbili (wanafunzi na walimu), jengo la TEHAMA la wanafunzi lenye darasa moja, ukumbi mdogo na ofisi za walimu na jengo moja la choo lenye matundu 48. Pia ujenzi wa nyumba sita za walimu uko kwenye hatua ya kuezeka. Nyumba hizo zinajengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Ujenzi wa choo kingine chenye matundu 48 umeanza. Waziri Mkuu aliwaomba wananchi wengine wamsaidie kutimiza ndoto yake kwani bado anakabiliwa na kazi ya kuweka umeme, maji, kujenga nyumba nane za walimu, bwalo na jiko, karakana nne za ufundi, ujenzi wa kituo cha walimu cha mafunzo ya muda mfupi na utunzaji taarifa (Resource Centre), viwanja vya michezo vya kisasa vinavyozingatia michezo yote, mfumo wa uvunaji maji ya mvua, mfumo wa maji safi na maji taka, nyumba mbili za walinzi na uzio wa shule. Alitaja vitu vingine ambavyo bado vinahitaji kuchangiwa ni meza za walimu – za ofisini na darasani, viti vya walimu – vya ofisini na darasani, madawati ya shule ya msingi na ya awali, meza na viti vya maktaba zote mbili, meza na viti vya bwalo – shule ya msingi na shule ya awali

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved