Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema bayana mbele vya viongozi na maafisa wa mfumo wa Kiislamu hapa nchini kwamba, Iran inafuatilia kuhakikisha kwamba, kunapatikana makubaliano mazuri yaani makubaliano ya kiadilifu, kiinsafu, ya heshima na ambayo yanakwenda sambamba na maslahi ya taifa hili. Ayatullah Khamenei amesema kuwa, taifa hili tofauli na wanavyong'ang'ania Wamarekani, halikubaliani na uwekaji mipaka wa muda mrefu wa miaka 10 hadi 12 na kubainisha kama ninavyomnukuu: 'kiwango cha miaka ambayo inakubalika tumekwishawaeleza Wamarekani.' Mwisho wa kunukuu.

No comments:
Post a Comment