Record mpya zinatoka kila siku, kwenye
zile zinazonifikia zipo ambazo na mimi naamua kukusogezea pia !! Unajua
nchi inayoongoza kwa amani na utulivu? Na unajua nchi inayoongoza kwa
kuwa na vurugu nyingi?
Kuna nchi tunazisikia kila siku kwamba kuna vita na machafuko, na kuna nchi ambazo hizo stori hata huzisikii kabisa!!
Hapa nina list ya nchi kumi ambazo zimetajwa kuwa zinaongoza kwa machafuko
Na hizi ndio nchi kumi zilizotajwa kuwa zina amani na utulivu zaidi
No comments:
Post a Comment