Dr Shein ziarani – Protocol za Viongozi wetu

Wazalendo nimeweka hizi picha tuone protocol za viongozi wetu. Hivi huyu mama Mwanamwema, na huyu body guard wanastahiki kusimama hapo walipo?
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana na Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt baada ya kutembelea katika Ofisi ya Mstahiki Meya akiwa  na ujumbe wake katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani (katikati)  Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ramadhan Othman.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia saini kitabu cha Golden Book katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt  wakati alipotembelea  akiwa na ujumbe wake akiwa katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani wakiwepo na Viongozi wengine (kutoka kulia) Mama Mwanamwema Shein, Meya wa Mji wa Wurzburg Mhe, Christian Schuehadt,Balozi Phillip Marmo na Dr.Adolf Bauer Naibu Meya ,[Picha na Ramadhan Othman.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia saini kitabu cha Golden Book katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg Mhe,Christian Schuehadt wakati alipotembelea akiwa na ujumbe wake akiwa katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani wakiwepo na Viongozi wengine (kutoka kulia) Mama Mwanamwema Shein, Meya wa Mji wa Wurzburg Mhe, Christian Schuehadt,Balozi Phillip Marmo na Dr.Adolf Bauer Naibu Meya.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved