BARCELONA YASAJILI BEKI MPYA, LAKINI ATAANZA KUITUMIKIA JANUARI MWAKANI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYkBm5UpReS383trQrgT839ukIqDkH4FQUjLzDNI_zpYoppTz2xjRdpNiT5oeuJ2jmAp6QI_-rL26Fe0NQ9S05x0VtVrkbtlkm1-TM4lFBWUcRLL0Wcm586pzePIMO9tm2c6XbQUMNZJ7g/s640/2972A5DA00000578-3115239-image-a-86_1433768987386.jpg                                       Siku mbili tu baada ya kutwaa ubingwa wa Ulaya, Barcelona imeendelea na usajili baada ya kumnasa beki Aleix Vidal kutoka Sevilla.
Sevilla ambao ni mabingwa wa Europa, wamekubali kumuachia beki huyo mwenye miaka 25, hata hivyo atalazimika kusubiri hadi Januari, mwakani kuichezea timu yake mpya.
Barcelona bado inatumikia adhabu ya Fifa ya usajili hadi mwakani. Hivyo Vidal atakuwa pamoja na timu hiyo, lakini ataonekana uwanjani na Barcelona, mwakani.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7jAKgwluHmShEdSGm7Sk-rfZjcTheGceFBMqhZDM9-JSuq4T8S8MpifAnUFZtyXIWJjT0F0h7Kldc-4dqxIFwmDxXfwjtvsxbM2xC5iNNChJbgnWJiahwkVJcqoLdTSNE3e0eIkmfXtGX/s1600/29718F0200000578-0-image-a-44_1433761966984.jpgwakati akiwa na sevilla.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved