Diamond aitambulisha style ya Kibega ya Makomando Afrika

Diamond anaendelea kuifanya vizuri kazi yake ya ubalozi wa nchi yake katika majukwaa ya kimataifa. Hivi karibuni aliutambulisha muziki wa mduara duniani na sasa ameitambulisha style ya kucheza iliyoanzia Tanzania. Kwenye video ya wimbo wake na Iyanya, ‘Nakupenda’, Diamond ameitambulisha style ya Kibega iliyoanzishwa na Makomando.
Diamond anaonekana kumfundisha Iyanya kucheza style ya kibega kwenye video hiyo..

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved