Nay; Mapenzi au Pesa’ haijabuma, itahit zaidi ya ‘Muziki Gani’

Nay wa Mitego bado anaamini kuwa wimbo wake wa pili kufanya na Diamond,‘Mapenzi au Pesa’, haujabuma Nay amesema kuwa huenda ‘Mapenzi au Pesa’ ukawa wimbo mkubwa kuliko hata ulivyokuwa ‘Muziki Gani’.
“Mapokeo yamekuwa makubwa sana ya huu wimbo.” amesema Nay. “Ni wimbo ambao ume-make headline nyingi sana kwenye mitandano kutokana na tulikichokiimba. Ni wimbo ambao utakuwa mkubwa sana. Muziki Gani ulikuwa mkubwa lakini kwa jinsi ulivyo wimbo huu, kuna dalili za kuwa wimbo mkubwa zaidi ndIo maana sasa hivi nipo kwenye mpango wa kufanya video nje. Ikitoka tu basi wimbo utaaendelea kuwa kwenye midomo ya watu.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved