Full Time:Yanga wapigwa 2-1 ,Canavaro akosa Penati

Klabu ya Yanga imeshindwa kuonyesha makali yake baada ya kukubali kipigo cha Magoli mawili kwa moja kutoka kwa klabu ya Gor mahia ya Nchni kenya.
Katika mcehzo huo Yanga ilikua ya kwanza kupata goli kupitia mshambuliaji wake Donald Ngoma katika dakika 4 ya kipindi cha kwanza.
Hali ya mchezo ilibadilika na Gor mahia walicheza kwa kasi kuhakikisha wanasawazisha goli hilo na juhudi zao zilizaa Matunda baada ya Mshambuliaji wao Harun Shakava kutingisha nyavu za Yanga katika Dakika ya 18 kipindi cha kwanza.
Dakika ya 23 Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma alitolewa kwa Kadi nyekundu na mwamuzi wa mchezo huo Ssali Mashood baada ya kumfanyia madhambi Harun Shakava wa Gor Mahia.
Mpaka mapumziko timu hizo zilienda sare ya goli moja kwa moja ambapo katika kipindi cha pili dakijka ya 61 Michaeli olunga aliipatia Gor Mahia goli la pili,
Dakika ya 72 ya mchezo huo Nadir Haroub Canavaro alikosa penalti

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved