Kiba tunakupenda ili haututendei haki kuchelewesha video-Mashabiki wa Alikiba

Uvumilivu wa kusubiri video ya 'Chekecha' umewashinda mashabiki wa muimbaji Alikiba ambao wameamua kumuomba,kumkumbusha kua wanamdai video ya wimbo huo ambao audio yake ilitoka mwanzoni mwa mwezi February2015. alikiba1 Baada ya kupost picha yake ya kawaida tu na kuandika #KingKiba, mashabiki hao walianza kutiririka kila mmoja akitumia nafasi yake kumkumbusha Ali kiba juu ya deni alilo nalo kwao..

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved