DK. KAMANI NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM



MBUNGE wa Jimbo la Busega (CCM), ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (pichani) leo ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa jijini Mwanza.
Dk.Kamani ametangaza nia katika mkutano wake uliofanyika kwenye Ukumbi wa Gandhi Memorial uliopo Nyamagana Jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved