Dk Kigwangalla: Urais hauhitaji uzoefu

Mbunge wa Jimbo la Nzega, Dk Hamisi Kigwangallah na familia yake wakiingia katika Uwanja wa Parking mjini Nzega jana. 

Kwa ufupi
  • Akitangaza nia yake katika Uwanja wa Parking Mjini Nzega jana, Dk Kigwangalla aliyetangaza nia hiyo kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam Septemba 7, mwaka jana, alisema: “Wakati umefika kwa Watanzania kufikiri tofauti na kutaka mabadiliko.”

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved