January: Nitateua mawaziri 18 tu

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza wakati akitangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM  Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame. 

Kwa ufupi
  • Makamba ambaye alishatangaza nia hiyo mwaka jana akiwa London, Uingereza alisema ametafakari kwa kina kuhusu changamoto zinazoikabili nchi na aina mpya ya uongozi inayohitajika na kuamua kuomba ridhaa ya urais ili azitatue.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved