Ripoti za vyombo vya habari nchini
Marekani zinasema kuwa watu 18 wameaga dunia katika eneo la Uchina la
Xinjiang katika makabiliano na polisi katika eneo la ukaguzi.
Hakujakuwa na mawasiliano rasmi kuhusu tukio hilo lakini wafanyikazi wa hospitali katika mji wa Kashgar wameiambia BBC kuwa maafisa hao wa polisi walipokea matibabu.
Moja ya lengo huenda ni kuweka vikwazo vikali kwa waislamu wa Uighurs katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan.
No comments:
Post a Comment