Faiza Ally amelalamika Mahakama kumkabidhi mtoto Mbunge Joseph Mbilinyi


faiza
Leo June 23 2015 Mahakama ya Sinza Dar imetoa hukumu ya hatma ya mtoto wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na mzazi mwenzake Faiza kwa kuruhusu mtoto huyo kulelewa na baba yake kwa madai kuwa mama hana vigezo vya kumlea mtoto huyo kimaadili.
Faiza akiwa ndani ya#NDP News room ameongea kwa huzuni kuhusu hukumu hiyo, anadai kuwa hajatendewa haki na pia baba wa mtoto hawezi kumlea kwa sababu ana mambo mengi.
Hata hivyo Faiza amesema pamoja na lawama ambazo amepewa kuhusu mavazi yake bado yuko tayari kujirekebisha.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved