Msichana aliyetokwa machozi baada ya kumwona Rais Kenyatta leo kakaribishwa kabisa Ikulu.. (PICHAZ)

TZA MWANAFUNZI ALIYELIA KWA KUMUONA RAIS APATA FURSA KUKETI HIKULUNI 2                Mara ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi.. Kumbe ni Rais Kenyatta aliyemwona msichana huyo akitokwa machozi huku akimpungia mkono.. akasimamisha msafara wake na kumsalimia msichana huyo.TZA PICHA YA MSICHANA ALIETOKWA NA CHOZI LA FURAHA KUKUTANA NA RAIS KENYATTA 2                              Leo karudi tena kwenye headlines nyingine, kilio chake cha furaha kimesababisha awe mgeni kabisa ndani ya Ofisi ya Rais Kenyatta, Nairobi Kenya.                              Ndoto yake labda ilikuwa kumwona Rais Kenyatta, ndoto imetimia na amekuwa mgeni leo Ikulu ya Rais huyo.

Chanzo Millad ayo.com

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved