![]() |
Director Hanscana. |
Hanscana alitajwa na Adam Juma kwamba ni director ambae amefanya video kali zinazomvutia.. Hanscana amesema imempa moyo kuona mkali kama Adam anazikubali kazi zake.
Jamaa kasema jicho lake bado linaikubali video ya ‘Mmmh’ ya C Pwaa. ambayo ilifanywa na Director Adam Juma.. Kwa upande wa list ya Directors anaowakubali sana wa kwanza ni Khalfan.
No comments:
Post a Comment