The Game kajikuta mikononi wa Polisi japo kesi yenyewe ni ya zamani..!!

<> at Greystone Mansion on September 24, 2013 in Beverly Hills, California.
The Game
The Game alikuwa na noma na Polisi mwezi March 2015, video ikanaswa na kusogezwa Youtube.. Baadae Polisi waliona hii wasiiache, story kwenye headlines ni kuhusu jamaa kukamatwa na Polisi japo kosa alilifanya muda mrefu uliopitwa.
Rapper huyu amefunguliwa mashitaka na Polisi wa Los Angeles baada ya kuingia kwenye utata na polisi wakati wanacheza Basketball na kisha kumpiga ngumi polisi huyo tukio ambalo watu walilinasa kwenye video na baadae likarushwa kwenye mtandao wa YouTube.
The Game
Japo video hio ina muda wa miezi mitatu toka irushwe  Youtube, Police wamesema kwamba wamefungua mashitaka kutokana na video hiyo kusambaa Youtube alafu watu wakawa kama wanawadharau Polisi kwa kutomfanya chochote jamaa.
Baada ya kufunguliwa mashtaka, The Game aliachiwa saa chache baadae kwa dhaman

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved