Madee na mpango wa Baunsa je


Unadhani Madee ana wazo la kutafuta Bodyguard? Madee amesema yeye mwenyewe ni baunsa yani.. hana mpango wa kuwa na baunsa na wala hana baunsa.
Rais wa Manzese amesema wala hatamani kuwa na Bodyguard kwa sababu yeye anaishi poa na watu wake, haoni kama kuna mtu ambaye ana ubaya nae mpaka akafikia hatua ya kuwa na Bodyguard.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved