MEMBE APATA WADHAMINI ZAIDI YA 800 KATIKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.Picha zote na John Badi.
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa pili kushoto) na mkewe Dorcas (kushoto) wakifuatilia kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akifuatilia kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.(VICTOR)

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved