mpango wa Zamaradi baada ya kushinda Tuzo

Ijumaa na Jumamosi ilikuwa weekend yenye matunda poa kwa presenter wa show ya Take One @CloudsTVZamaradi Mketema alishinda Tuzo siku ya Ijumaa katika Tuzo za Watu na siku ya Jumamosi pia kwenye Tuzo za Filamu TZ Zamaradi amesema ushindi wa Tuzo hizo umempa nguvu ili kufanya kazi ya movie nyingine ambazo zitakuwa nzuri zaid

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved