Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Mkuya
(Mb-aliyesimama) akitoa ufanunuzi kuhusu matumizi ya fedha za kigeni
kwenye malipo ya ada kwa shule za ndani ya Nchi, wakati wa kipindi cha
maswali na majibu , Bungeni Dodoma leo.
Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Betty Machangu akitoa hoja Bungeni Dodoma leo wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
Mbunge wa Jimbo la Rombo, Mhe.
Joseph Selasini, akiwaonyesha waandishi wa habari mkataba wa ubia kati
ya Raia wa China na anayedai ni Mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw.
Leonidas Ga



No comments:
Post a Comment