KIKAO CHA UKAWA KUMPATA MGOMBEA URAIS KINAENDELEA MUDA HUU

Wajumbe wa kikao hicho wakipata futari wakati wa mapumziko. 



Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa (kulia) na Mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu wakipata futari wakati wa mapumziko.
KIKAO cha kumtafuta na kumtangaza mgombea urais kupitia Ukawa katika Ukumbi wa Hoteli ya Colosseum, Masaki jijini Dar es Salaam kinaendelea muda huu.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved