P Square wameachia video yao mpya inayoitwa ‘Bring It On’, Ni nyimbo iliyopo kwenye albamu yao mpya ya Double Trouble.
Katika video hiyo yenye vionjo vya R&B na Rock ilifanyika Atlanta Marekani na Afrika Kusini huku ndani wakimshirikisha Dave Scott.
No comments:
Post a Comment