Waziri Lazaro Nyalandu alivyopokelewa Singida na kuitangaza safari yake kwenye Urais wa TZ !!


Waziri Lazaro Nyalandu na mke wake wakisalimiana na watu wa Singida.
Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania nae kaingia kwenye headlines za wale waliosogea hatua moja mbele, jana June 6 2015 kasogea Singida.. lengo ilikuwa kuongea na Watanzania rasmi kwamba ameianza safari kuelekea Ikulu.
Ninazo picha za jinsi alivyopokelewa Singida, akaongea na watu wake.
Screen Shot 2015-06-06 at 11.31.06 PM
Screen Shot 2015-06-06 at 11.35.25 PM
Timu ya Yamoto Band walikuwepo kwenye stage ya burudani.
Screen Shot 2015-06-06 at 11.34.53 PM
Askari wakiendelea na majukumu yao kuhakikisha usalama upo wakati wote.
Screen Shot 2015-06-06 at 11.35.09 PM
Boss wa Yamoto Band, Mkubwa Fella nae aliongozana na Kikosi chake cha Yamoto Band.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved