Ally kiba atisha KTMA kwa kuchukua tuzo 5

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgGauv4TmevNjPnCT3Zm49owntnDUNpwDv8eVZt0zcdp-iHXD3UhzVGZkTH5Zf1t2-2LbfIm7OwswQIv0qoTiJuDGVXEk5m1km7uEn4E-Wm3V2suXNm5dXMguzynpEF3AannihOq8FR0MY/s1600/Alikiba+-+Mwana+Cover+Done+Mwana+&+Kimasomaso.jpgMsanii huyo wa kizazi kipya Ally Kiba ambaye alitamba na wimbo wake wa "mwana" usiku huu amechukua tuzo tano ndani ya Kilimanjoro Tanzania Music Awards {KTMA} katika vipengele mbali mbali. Yakwanza ni Mtumbuizaji bora wa mwaka wa kiume, Pili ni mwambaji bora wa kiume bongo fleva, Tatu ni wimbo bora wa mwaka, Nne ni mtunzi bora wa mwaka bongo freva na yatano ni wimbo bora wa Afro Pop.

Kwa mujibu wa New Day Taarifa inaonesha kua Alikiba ndie alie jibebea tuzo nyingi kuliko wasanii wenzake wote kwa mwaka huu....

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved