Orodha Ya Washindi wote wa KTMA 2015

Baadhi ya washindi wa  KTMA 2015

Mtumbuizaji Bora wa Muziki wa Kiume wa Mwaka- Ali Kiba
Mtumbuizaji Bora wa Kike wa Mwaka- Vanessa Mdee
Msanii Bora wa Kiume Taarab- Mzee Yusuph
Mwimbaji Bora wa Kike Taarab: Isha Mashauzi
Mwimbaji Bora wa Kiume Bendi- Jose Mara
Wimbo Bora wa Mwaka wa Taarab- Mapenzi Hayana Dhamana (Isha Mashauzi)
Wimbo Bora wa Mwaka- 'Mwana' (Ali Kiba)
Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi- 'Walewale' (FM Academia)
Wimbo Bora wa R&B- 'Sisikii' (Jux)
Wimbo Bora wa Hip Hop- Kipi Sijasikia (Prof. Jay- Mshindi)
Wimbo Bora wa Reggae/ Dance Hall- Maua Sama
Rapa Bora wa Mwaka Bendi- Ferguson
Msanii Bora wa Hip Hop- Joh Makini
Wimbo Bora wa Afrika Mashariki- Sauti Sol
Mtunzi Bora wa Mwaka Taarab- Mzee Yusuph
Mtunzi Bora wa Mwaka Bongo Fleva- Ali Kiba
Mtunzi Bora wa Mwaka (Bendi)- Jose Mara
Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia - Barakah Da Prince
Mtunzi Bora wa Mwaka Hip Hop- Joh Makini
Bendi Bora ya Mwaka- FM Academia
Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bongo Fleva- Nahreel
Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Taarab- Enrico
Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bendi- Amoroso
Wimbo Bora Wenye Vionjo vya Asili ya Kitanzania- Mrisho Mpoto
Kikundi Bora cha Mwaka Taarab- Jahazi Modern Taarab
Kikundi Bora cha Mwaka Bongo Fleva- Yamoto Band 

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved