
Jana jumapili staa wa Nigeria Davido alihitimu shahada yake ya mambo ya muziki katika chuo kikuu cha Babcock nchini Nigeria.

Superstar huyu kutoka nchini Nigeria amehitimu degree yake ya elimu kutoka chuo Babcock University nchini Nigeria kwenye kitengo cha Muziki.

No comments:
Post a Comment