Kim Kadarshian ni mjamzito, eti hili ndio jina atakalopewa mtoto atakaezaliwa??

Name Button
Familia ya mastaa ambayo iko midomoni na masikioni mwa watu wengi, staa Kim Kadarshian na rapper Kanye West pamoja na mtoto wao, North West ni karibu kila siku kunakuwa na sori kuhusu wao !!
Basi baada ya kupitia mitandaoni nikaona kumbe story sio tu ishu ya Kim Kadarshian kuwa mjamzito, kingine ni jina ambalo tayari watu wameanza kulitabiri eti atapewa mtoto atakaezaliwa.Kim & Kanye West Imekuwa trend ya aina yake kwenye mtandao wa Twitter, wanaotabiri wanasema kwa kuwa mtoto wa kwanza ni North West, atakaefuatia eti atakuwa South West.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved