Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi
wa habari ambapo alizungumzia ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM
Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu ,Kagera,Geita na
Mwanza itakayoanza tarehe 4 June.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
Katibu
wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha picha ya muonekano wa basi
maalum litakalotumika kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa kuelekea
mkoani Kagera.(VICTOR)
No comments:
Post a Comment