Prisca : Filamu mpya kabisa kutoka Mbeya
Ikiwa mkoa wa Mbeya ndiyo unazidi kukua kisanaa,baadhi ya wasanii wamechangia katika hili kwa kuweka bidii katika sanaa.Prisca ni moja ya filamu mpya kutoka Mbeya ambazo zimelenga katika kuiniua sanaa ya mkoa na kanda nzima.
Ndani ya filamu hii vimo vipaji mahili vipya na vya zamani vikifikisha ujumbe kwa namna bora kabisa.Director wa filamu hiyo Andrew Mlelema "Machungwa" amesema kazi imetumia muda mrefu kuandaa yote ili ifikie kukata kiu ya watazamaji.Pia ameongeza inauzwa kwa gharama ya 5000 Pekee huku ukipata Part 1&2.
Wewe kama mtu mwenye kupenda ukuaji wa uchumi na sanaa ndani ya Mbeya na Nyanda za juu kusini kiujumla,tafuta kazi hii upate ku'support' wasanii wa nyumbani na kuwa sehemu ya maendeleo ya kiuchumi na kisanaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asiee mbeya tunaanza kufanya juhudi sasa..!?
ReplyDelete