Star anayekimbiza katika lamu Nollywood, Ramsey Nouah amevililia vyombo vya habari ‘media’ kuwa vinamharibia ndoa yake.
Akichonga na Jarida la Vanguard, Ramsey anayebamba na lamu ya 30 Days
in Atlanta alisema amekuwa ngao katika familia yake katika kuikinga
dhidi ya media.
“Media zinaharibu sana ndoa. Lakini asante wameshindwa na ndoa yangu
sasa ina miaka 14 nikiwa na watoto wanne. Nilimwambia mke wangu kaa
mbali na media nitapambana nao. Kama hawatakuona, hawatakuwa na cha
kusema,” Ramsey aliliambia jarida hilo.
No comments:
Post a Comment