Serikali yasema inathamini mchango wa ALBINO

Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr KEBWE STEVEN KEBWE
Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr KEBWE STEVEN KEBWE amesema kuwa Serikali inaendelea kutambua na kuthamini michango inayotolewa na Watu wenye Ualbino katika Maendeleo ya Taifa.

Naibu Waziri KEBWE ameyasema hayo mjini Dodoma wakati akitoa taarifa juu ya Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Ualbino Duniani yatakatofanyika jijini Arusha chini ya Kaulimbiu Dumisha Ulinzi na Amani katika Jamii kwa Watu wenye Ualbino.

Kauli hiyo ya Serikali imekuja siku chache baada ya Baraza la Watoto wenye Ulemavu nchini kufanya ziara Bungeni mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved